KONGAMANO LA KIHISTORIA LA KITUME NA KINABII MKAMBA KILOMBERO

Mpendwa mtoto wa Mungu aliyu juu sana tunapenda kukushukuru sana kwa maombi yako tunaamini kwamba nikwamaombi yako tu ndiyo maana tunazidi kusonga mbele na hii kazi ambayo Mungu ameweka ndani ya maisha yetu ilikluweza kuwafungua wale walio katika vifungo vya giza la ibilisi shetani ,hivyo tutakuwa na mkutano mbwa sana Kilombnero ambao ni kongamano la ajabu Mungu anakwenda kukutana na watu ,maana analo neno kwajili yao ,endelea kuatia yatakayo tokea hapo kuanzia tarehe 25hadi 29 mwezi huu,umebarikiwa katika jina la Yesu