Katika hali isiyo ya kawaida Police wa kituo cha wilaya ya Magu mjini leo asubuhi tarehe 14/5/2014 wamekaja katika kituo cha Huduma ya maombezi na uponyaji na kumchukua Mhe Nabii patimo ,Nabii huyu amekamatwa leo asubuhi mara tu baada ya kutoka kwenye ibada ya maombi ya toba kwajili ya Taifa yanayoendelea kanisani hapo kwa takribani miezi mitatu sasa yatakayofikia ukomo wake tare 24/7/2014
aidha police hao pia wamechukua na vyombo vya sauti vinavyo tumika hapo kanisani kwa kutimiza amri ya mkuu wa wilaya hiyo Jacquelin Liana iliyotolewa tarehe 2/5/2014 iliyota kufungwa kwa kanisa hilo kwa mujibu wa kupiga kele za maombezi
Nabii patimo akitoa unabii wa majivu
